Inawezekana. Powered by Blogger.

Uzinduzi wa Kilimo kwanza Promosheni SumaJkt

 Mh Affan O. Maalan Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Maliasili Zanzibar akizindua promosheni ya bahati nasibu ya SumaJkt Jijini Dar es salaam leo.
 Meza kuu ya Waheshimiwa na viongozi wengine akiwemo Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Maj General Samweli Kitundu, Mkurugenzi Mkuu SumaJkt Col. Ane Mwakang'ata, Mwenyekiti wa Bodi ya SumaJkt Maj General Ligate Sande (Rtd). Kwenye uzinduzi wa shinda Matrekta na zawadi nyingine nyingi.
Mgeni Rasmi akiwa amemaliza kukata utepe kuashiria kuanza kwa promosheni hiyo

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP