Inawezekana. Powered by Blogger.

Paul na Lilian Wameremeta huko kwenye mji wa Kusoma


Paul Mhando na Mkewe Lilian
Bibi Harusi akiwasili Kanisani kwa ajili ya siku yao na wapambe wakiwa tayari kumsindikiza ndani.
Bibi Harusi akisindikizwa na Bw Daniel Semwenda kumkabidhi kwa Bw Harusi
Bw na Bi Harusi wakiwa wamesimama wakisubiri wakati uwadie
Bw na Bi Harusi wakiwa wamekaa wakifuatilia kwa karibu.




Bwana harusi akimwangalia mkewe kweli umekuwa wangu sasa!




Bw na Bi D Semwenda pamoja na Bi harusi
Picha pamoja na Mchungaji na Mkewe mwenyekiti wa Cite uk

Mc akiwa anatambulisha upande wa Bi harusi
Paul anahakikisha details zote ziko sawa

Wageni waalikwa wakiwa wanaburudika na vinywaji 



Raph in the house doing His ting

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP