Inawezekana. Powered by Blogger.

GARI LA KWANZA KUTENGENEZWA TANZANIA (NYUMBU)


Watanzania tuna kila sababu ya kujivunia vitu vyetu. Miaka kama kumi na saba iliyopita Tanzania imefanikiwa kutengeneza Gari yake ya kwanza. Sasa ni kuona namna gani tunaweza kuendeleza juhudi hizo zilizokuwa zimeanzishwa na Baba wa Taifa. Hongera Tanzania kwa kuwa na gari.

KIJANA AKITAFAKARI MAISHA JINSI ATAKAVYO PAMBANA NAYO
Kamera yetu ikiwa mitaa ya Mikele mkoa wa Pwani wilaya ya Bagamoyo.

Mama huyo akiandaa mloo kwa ajili ya familia yake hapo Mikele Bagamoyo.

MADHARI NZURI YA NCHI YETU TANZANIA


MJASIRIAMALI AKIWA KATIKA HARAKATI ZA KUPANGA BIDHAA.

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP