Inawezekana. Powered by Blogger.

VIBAO VYA KUELEKEZA, VIPI LUGHA YA KISWAHILI?

Vibao vingi wanavyotumia wajenzi wa barabara wanaandika kwa lugha ya kiingereza najiuliza ni kwa ajili ya nani. Wakati Watanzania uelewa wa lugha hiyo bado. Vipi Kiswahili kina tatizo gani kutumika

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP