Inawezekana. Powered by Blogger.

Wiki ya Usalama barabarani Dar






Sherehe hizo zilihudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, kilichovutia zaidi ni kuwa na gari ya zima moto ambalo nimachache hapa Afrika kwa ujumla. Inasemekana kuwa magari ya aina hii yenye uwezo wa kuzima na kupanda hadi ghorofa 35 yako matatu tu Afrika nzima. Mengine yapo Nigeria na South Afrika kwa wengine mnakuita bondeni. Wenye data tupashe.

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP