Inawezekana. Powered by Blogger.

BAND YA FAMILIA MOJA- TANGA


Hicho kikundi ni wanandugu wote hao yaani familia sio baba na mama mmoja ila mtoto wa mjomba, shangazi, uhusiano wa namna hiyo. Hao wanapatikana huko Tanga kwenye Kanisa la Kilutheri. Ni kipaji cha namna yake. Na kama jinsi hata hao watoto wadogo kabisa wanavyoweza kutumia vyombo hivyo kwa umahiri mkubwa. Tuendeleze vipaji vya watoto wetu. INAWEZEKANA

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP