Inawezekana. Powered by Blogger.

Mama na Mwana wamependeza

Mbazis –   – (December 12, 2011 at 7:52 AM)  

Kweli wamependeza,lakini mbona wamekaa nyuma kanisani?Au hawakutaka kusikiliza ibada kwa makini?

Jarida la Inawezekana  – (December 13, 2011 at 3:44 AM)  

Inawezekana mambo ya kujiandaa ndiyo maana unaona hata wamekalia viti tofauti na wengine. Kwahiyo mambo ya maandalizi tena kwa kinamama mambo mengi.

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP