Inawezekana. Powered by Blogger.

Uwanja wetu wa ndege

Jinsi uwanja wetu wa JNIA unavyo onekana kwa mbali na mbele yake hiyo ni sehemu yakuegesha magari ingawa wameongeza sehemu ya kuegesha magari.

Sehemu wa wasafiri kukaguliwa kwa ajili ya kuondoka au Departure area. Kama jinsi panavyo onekana.

 Sehemu ya kujianda kama umekuja kupokea msafiri au unamsindikiza ndugu hii ndiyo sehemu huwa unakaa kwa ajili ya kuaga au kupokea. Lakini ndiyo hivyo hakuna viti kwa ajili ya kukaa.
Sehemu ya kupokelea wageni au kuwaaga wasafiri.

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP