Inawezekana. Powered by Blogger.

Harusi ya kufana jijini Arusha




 Dada wa Bwana harusi
 Wakati wa kuchangamsha viungo sasa ndiyo harusi yenyewe, sherehe kucheza na kufurahi
 Ukumbusho kwa kaka na dada wa maharusi
 Mambo ya display na creativity

 Jamani mtoto mzuri na amependeza sana.
 Wageni waalikwa ukumbini
 Wakati wa kukata ndafu na kuweka umoja katika kufanya mambo kwa pamoja.
 Baba na Mama wa bibi harusi nao wakikumbukia siku yao ilivyokuwa, wakilishana keki ya ndafu.
Bibi naye hakuwa nyuma katika kufurahiya siku hiyo.

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP