Inawezekana. Powered by Blogger.

Jiwe lenye historia mbaya

 Hili liko sehemu inaitwa Kikweni katika wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. Jiwe hili siku za nyuma lilitumika kuweka watoto wote ambao waliota meno ya juu kwanza. Kwahiyo mtoto akianza kuota meno ya juu kwanza alikuwa akiletwa hapo juu ya jiwe asubuhi sana wakati bado akiwa amelala na anapoamka anadondoka na kufa. Zamani lilikuwa likitisha sana. Siku hizi hawafanyi tena. Mila zingine mhhh.

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP