Inawezekana. Powered by Blogger.

Makumira Hiyo Nani mwenye Data

Gate kuu la kuingilia shuleni enzi hizo kwa wale waliomaliza mwaka 91 au 92 haikuwa hivi.

Nyumba ya Mkuu wa shule, hii ilijengwa na wakoloni mpaka sasa bado ipo safi kabisa.

Hapa ndiyo ilipokuwa mashine ya kupump maji juu, kwa sasa hawatumii tena hii mashine.





Jinsi wanafunzi walivyokuwa wakioga hapo.




Je unawakumbuka hawa.

Sehemu ya kuchukulia chakula (ngama, pure).

Ilikokuwa Canteen na duka la shule, bahati mbaya iliungua yote kwa moto.


Mviringo ulitumika kama stoo lakini sasa ni bweni.
Jiko la sasa nilakisasa je unazo picha za enzi hizo tutumie.
Enzi hizo ilitakiwa kuwa sehemu kwa ajili ya kula chakula na kipindi hicho ilikuwa sehemu ya ukumbi wa mikutano na disco.

Je unamkumbuka huyu?


Unawakumbuka hawa?



Nurse wa shule akiwa kazini kwenye ofisi zake za muda wakati wakijenga Zahanati ya shule kwa palepale ilipokuwa ya zamani.






Unamkumbuka huyu, mliosoma makumira
Nyumba za walimu.
Viwanja vya michezo havijabadilika mpaka sasa.
Shule ya msingi Makumira.

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP