Inawezekana. Powered by Blogger.

Kwanini vyakula kama hivi sio maarufu sana?

 Hapa ni viazi vya kuponda, kuku na mchicha, vipande vya chungwa na karoti kwa pembeni.
Nathani wengi mnaelewa huu mchanganyiko!

Read more...

Nimeitamani Hii nyumba

 Mwenye nyumba hii ambayo kamera yetu iliipitia ni Design nzuri sema haijamalizia vizuri tu. Hii ni kuonyesha kuwa kama tukijenga kwa mitindo ya asili na kumalizia vizuri zinapendeza.

Read more...

Sanaa katika mji wa Bagamoyo

 Moja ya sehemu za sanaa za siku nyingi kwenye mji wa Bagamoyo
Amekuwepo sehemu hii kwa siku nyingi sana

Read more...

Makumbusho ya Bagamoyo

Kuna mengi sana ya kujifunza kutokana na haya makumbusho katika mji wa Bagamoyo.

Read more...

Taswira kwa Farao

Farao's dress code

on the way to the Pyramids

River Nile in Cairo 

Most attractive Hotel in Cairo,
Le plus Hotel Fantastique en Caire 

Daraja linalovuka mto Nile, kivutio kikubwa cha watalii....je sisi kigamboni!!?
wanategemea litaanzwa kujengwa Desemba 2011.
                                                
Mrembo katika pozi, baada ya mizunguko ya mjini
                     

Read more...

Nchi Yetu Tanzania

Hii ni moja ya fukwe za nchi yetu, Tuna utajiri mkubwa sana wa fukwe ambao bado haujatumika vizuri katika kutuletea maendeleo. Wadau mpo?

Read more...

New Dish Chips na Bamia Mhh




Read more...

Kwaheri Umasikini, Karibu Tujikomboe. Ndilo neno lililotumika kwenye semina iliyoandaliwa na DIMOND

Mwelimishaji akiwafundisha wajasiriamali walio hudhuria semina iliyo andaliawa na DIMOD iliyofanyika kwenye Chuo Cha Ustawi wa Jamii Jiji Dar Es Salaam.


Wajasiriamali wakifuatilia kwa karibu jinsi ya kujitoa kwenye umasikini na kujiweka kwenye nafasi ya kujikomboa kutoka kwenye umasikini.

Ukumbi ulikuwa umejaa kwenye semina ya ujasiriamali. Semina hiyo inayo endeshwa na DIMOD Intergrated Solutions and Awareness kwa muda wa siku tatu kuanzia siku ya Jumatano tar 17/Aug/11 mpaka tar 19/10/11

Read more...

Mapumziko ya Aina Yake

Alikutwa na mpiga picha wetu, Kijana huyu akiwa amepumzika na akiwa katika mawasiliano bila shida yoyote kwenye matairi,

Akijaribu kumkimbia mpiga picha wetu.

Read more...

Kula Mboga za Asili kwa Afya Yako

Shirika lisilo la kiserikali la RESEWO limeanzisha bustani ya maonyesho ya mboga za asili ya Tanzania. Bustani hii iko ndani ya Kijiji cha Makumbusho, Dar es Salaam.


Mboga za asili zina faida nyingi kiafya, na hata huweza kutumika kama tiba mbadala kwa magonjwa mbalimbali.

Kishona nguo

 Kishona nguo huweza kutumiwa kama mboga, kama juisi na pia kama kiungo cha chai. Inaongeza damu mwilini, inaondoa uchovu na husaidia kuzuia magonjwa mbalimbali.

Mchicha maua
Delega

Juisi ya Kishona guo
... unaweza hata ukaotesha mboga ndani ya ndoo

Afisa Utawala na Masoko wa Resewo, Bi. Stella Muro akiwa ofisini

Read more...

InawezeKana

Read more...

InawezeKana Miaka 25 ya Ndoa





Bibi pia alikuwepo

Wakati wa kupongezana na kuelezana Inawezekana 

Happy People




Baadhi ya wageni wao wakiweka mikakati ya kuona wanafikisha miaka 75 ya ndoa, Je Inawezekana?


Pozi na Bi harusi

Wakati wa mishikaki kwa hakika ilikuwa mitamu sana


Wakati wa Chalesi

Ndafu kama Kawa

Baada ya Miaka ishirini na tano ijayo???

Read more...

Inawezekana Miaka 25 ya Ndoa

Read more...

Inawezekana Ndoa Miaka 25


Bw na Bi Machange

Ndugu na Jamaa wakiwa wanawasindikiza kumshukuru Mungu kwa miaka 25 ya ndoa


Sehemu ilikofanyika sherehe hiyo ya kukumbuka miaka 25 ya ndoa kabla ya wageni kuingia


Dada Truda au kwa jina lingine Tutu akiwa anafurahia sherehe

Dada yeye aliamua kushika mishikaki miwili miwili kwa jinsi ilivyokuwa mitamu

Dada akiwa kwenye pozi baada ya kupata mishikaki

Read more...

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP