Sabuni ya Mmbono
Hizo ndizo sabuni za jatropha (mmbono), zimetengenezwa na mafuta yatokanayo na mbegu za jatropha (mmbono), mmea wa mmbono. They are very nice ones, makes you soft and clean, if you have a rough skin i recommend you try them, na kama unakuaga na ngozi kavu ndio kabisa they provide a solution, now zinapatikana mwenge madukani yale yanayoangaliana na kituo cha mabasi ya tegeta au tuwasiliane kwa email ndeonasia@yahoo.com. Zinafaa na kwa watoto pia, kwa ngozi nzuri na yenye afya, si unajua tena zinatengenezwa na mafuta ya mbegu za jatorpha,ambayo ni mafuta mazuri sana. Hazina chemicals and they are not perfumed. Magonjwa ya ngozi, muwasho, kila kitu maliza kabisa, just give them a try and tell the world. Wasiliana nasi kwa Simu Namba
+255785 298 679
e-mail ndeonasia@yahoo.com
e-mail ndeonasia@yahoo.com
Karibu sana.
Read more...
We are an importer/exporter company based in the United Kingdom with global dealings.Cars & Trucks,Parcels,ContainersHospital Equipment
Personal Effects Domestic Goods and Packaging of dedicated Goods.
Plants & Machinery.
We Collect goods and equipment throughout the UK but for Europe we can facilitate. CONTAINERS PRICE
20 ’ To Dar Es Salaam £1,450
40’ To Dar & Mombasa £2,150
Saloon to Dar/Mombasa 730
4X4 to Dar/Mombasa 800
Trucks from $81.50 per cubic metre
(Length X Width X Height ) Metre
We specialise in Forwarding to East Africa,West Africa ,Middle East and USA and ESAC Ltd provide clearing goods if require to Tanzania.
NOTE:WHEN U INTRODUCE A FRIEND YOU GET A DISCOUNT.
Regards,
Operations Manager: Mndima Fue
Eastern & Southern Africa Cargo Limited (ESAC)
(Exporters & Importers )
Tel No: +44 783 369 2695 , +44 0148 221 4949 (North England - HQ)
Tel No: + 44 118 954 5890 , +44 79000 43224 (South England office)
132 Victor Street, HULL, HU9 2EY- East Yorkshire
REG NO:07609023. VAT NO:113 999 585
Read more...
Jiko Linalotumia Oil chafu na maji kuwashia.
Jiko hili linatumia Oil chafu ambayo kwa hapa dar au Tanzania kwa ujumla ni rahisi kuipata kwahiyo litasaidia sana kwa watu wale wenye kipato cha chini na kulinda mazingira. Kama kuna yeyote mwenye. Ni faraja kwa watu wanaopenda kutunza mazingira kwani badala ya kutafuta wapi tutamwaga hiyo oil chafu unaitumia tena badala ya mkaa na kuni. Hongera sana mgunduzi wa jiko hili.
Read more...
Wanaopenda kuandika kuhusu Tanganyika
TANZANIA 1961-2011
MIAKA HAMSINI YA UHURU
Je maendeleo yetu yanaendana na umri huo?
Je wataka kuchangia mawazo yako kwenye kitabu hiki? Chagua mada (Topic).
Wasiliana na Mwl. Singo, K. A. 07856010901
1. Historia fupi ya Tanzania (X)
2. Mafanikio ya J. K. Nyerere (X)
3. Kwa nini Nyerere Alishindwa (X)
4. Kifo cha Ujamaa na kujitegemea
5. Ujio wa vyama vingi
6. Uchumi na maendeleo tatizo liko wapi?
7. Elimu na maendeleo (X)
8. Sababu za umasikini
9. Afya na Maendeleo
10. Demokrasia na maendeleo
11. Uongozi na maendeleo
12. Ufisadi na maendeleo
13. Haki na maendeleo
14. Maendeleo ya mbeleni ya Tanzania
Andika mada yenye maana ukitumia lugha nzuri (A4) kurasa zisizozidi 8 kwa topic. Kama huwezi Kiswahili andika kwa kingereza. Kama huwezi kuchapa andika kwa mkono nipigie au tuma C/O 17 Bede Walk Reading RG2 7UE
Mwisho wa kuwasilisha 30/11/11
Topic yenye (X) – Imechukuliwa. Tafadhali nijulishe chaguo lako.
Read more...
Jiko lenye oven la mkaa, Bongo mambo juu
Mtaalamu akionyesha jinsi jiko la mkaa lenye oven linavyotumia mkaa kidogo na kuwezesha kutengeneza vitu mbalimbali kama kuoka mikate na kadhalika
Read more...
Chuo cha St John kwenye maonyesho mnazi mmoja Dar
Kwenye maonyesho ya sayansi ya techohama ndiyo hivyo chuo cha St John wao wanatumia vitu vya asili au kwa maana nyingine mali ghafi ya humu humu nchini kufundishia. Inawezekana bila vitu vya kutoka nje.
Read more...
Gari La Gesi Bongo
Gari hili lina uwezo wa kwenda kilometer 180 hii mitungi ikiwa imejaa. Watanzania huyu ndiyo atakuwa mkombozi wetu na hizi bei za mafuta zinavyopanda kila siku.
Read more...
Makao Makuu ya Nchi Lini tutahamia?
Sehemu moja wapo muhimu mkoani Dodoma lakini ndiyo hivyo hatujui kuthamini vitu vya kwetu.
Read more...
Subscribe to:
Posts (Atom)