Inawezekana. Powered by Blogger.

Wanaopenda kuandika kuhusu Tanganyika

TANZANIA 1961-2011
 

MIAKA HAMSINI YA UHURU
Je maendeleo yetu yanaendana na umri huo?
Je wataka kuchangia mawazo yako kwenye kitabu hiki?  Chagua mada (Topic).
Wasiliana na Mwl. Singo, K. A. 07856010901
1.     Historia fupi ya Tanzania (X)
2.     Mafanikio ya J. K. Nyerere (X)
3.     Kwa nini Nyerere Alishindwa (X)
4.     Kifo cha Ujamaa na kujitegemea
5.     Ujio wa vyama vingi
6.     Uchumi na maendeleo tatizo liko wapi?
7.     Elimu na maendeleo (X)
8.     Sababu za umasikini
9.     Afya na Maendeleo
10. Demokrasia na maendeleo
11.  Uongozi na maendeleo
12. Ufisadi na maendeleo
13. Haki na maendeleo
14. Maendeleo ya mbeleni ya Tanzania
Andika mada yenye maana ukitumia lugha nzuri (A4) kurasa zisizozidi 8 kwa topic. Kama huwezi Kiswahili andika kwa kingereza.  Kama huwezi kuchapa andika kwa mkono nipigie au tuma C/O 17 Bede Walk Reading RG2 7UE
Mwisho wa kuwasilisha 30/11/11
Topic yenye (X) – Imechukuliwa. Tafadhali nijulishe chaguo lako.

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP