Inawezekana. Powered by Blogger.

Makumira Hiyo Nani mwenye Data

Gate kuu la kuingilia shuleni enzi hizo kwa wale waliomaliza mwaka 91 au 92 haikuwa hivi.

Nyumba ya Mkuu wa shule, hii ilijengwa na wakoloni mpaka sasa bado ipo safi kabisa.

Hapa ndiyo ilipokuwa mashine ya kupump maji juu, kwa sasa hawatumii tena hii mashine.





Jinsi wanafunzi walivyokuwa wakioga hapo.




Je unawakumbuka hawa.

Sehemu ya kuchukulia chakula (ngama, pure).

Ilikokuwa Canteen na duka la shule, bahati mbaya iliungua yote kwa moto.


Mviringo ulitumika kama stoo lakini sasa ni bweni.
Jiko la sasa nilakisasa je unazo picha za enzi hizo tutumie.
Enzi hizo ilitakiwa kuwa sehemu kwa ajili ya kula chakula na kipindi hicho ilikuwa sehemu ya ukumbi wa mikutano na disco.

Je unamkumbuka huyu?


Unawakumbuka hawa?



Nurse wa shule akiwa kazini kwenye ofisi zake za muda wakati wakijenga Zahanati ya shule kwa palepale ilipokuwa ya zamani.






Unamkumbuka huyu, mliosoma makumira
Nyumba za walimu.
Viwanja vya michezo havijabadilika mpaka sasa.
Shule ya msingi Makumira.

Read more...

Mwana Muziki anaye ibukia katika fani hiyo.

Hapa akiwa anatoa free style na wengine wakienda pamoja naye

Read more...

Mila za Kichaga





Bi Harusi mtarajiwa na Bw Harusi mtarajiwa wakiwa wenye furaha baada ya wazazi wa binti kuona mahali atakapo fikia. Mila za wenzetu lazima wazazi waone wapi mtoto wao atakapo kuwa akikaa. Hakuna kuchakachua.

Wakiwa ukweni kuona mazingira mtoto wao anaye olewa atakapokuwa anakaa.

Read more...

Graduation Moshi








Read more...

HALLELUJAH

Read more...

Mkokoteni unapobeba gari



Hii ni kuonyesha Inawezekana kwani mkokoteni umeweza kubeba gari

Read more...

Getu mapumzikoni Bagamoyo


Read more...

Matuta Barabara Kuu


 Hapa limewekwa tuta kwenye barabara kati ya Chalinze na Michungwani na hata hao tanrod wanafanya nini pamoja na mkoa wa Tanga au Pwani hakuna anaye angalia.

Read more...

Ajali ya aina yake


Read more...

Kutoka Chalinze mpaka Michungwani ajali za siku moja hizo hapo.







Read more...

Ekama Suite Lodge


Read more...

Mambo ya Moto kichwani

Read more...

Uwanja wetu wa ndege

Jinsi uwanja wetu wa JNIA unavyo onekana kwa mbali na mbele yake hiyo ni sehemu yakuegesha magari ingawa wameongeza sehemu ya kuegesha magari.

Sehemu wa wasafiri kukaguliwa kwa ajili ya kuondoka au Departure area. Kama jinsi panavyo onekana.

 Sehemu ya kujianda kama umekuja kupokea msafiri au unamsindikiza ndugu hii ndiyo sehemu huwa unakaa kwa ajili ya kuaga au kupokea. Lakini ndiyo hivyo hakuna viti kwa ajili ya kukaa.
Sehemu ya kupokelea wageni au kuwaaga wasafiri.

Read more...

Wajasiria mali wa samaki eneo la bagamoyo


Wachuuzi wa samaki mjini Bagamoyo ambalo eneo lao limeboreshwa wakisubiri wateja. Sehemu hii maarufu sana kwa samaki mjini Bagamoyo imeboreshwa kidogo lakini bado sehemu kubwa hawajafanya mabadiliko yoyote. 

Read more...

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP